3.2 C
New York
Wednesday, July 15, 2020
Home Authors Posts by Medianorth news

Medianorth news

407 POSTS 2 COMMENTS

SIKU YA KUTOA TAKWIMU AFRIKA,MARSABIT COUNTY

Shirika la Umoja wa kimataifa na maendeleo imetenga siku ya leo kuwa siku ya kuthamini takwimu muhumu ya bara la Africa. Maadhimisho haya hufanyika kila mwaka katika mataifa ya bara Afrika. Maadhimisho haya yamefanyika kaunti zote 47. Shirika la kuthatimini takwimu nchi KNBS limeandaa sherehe ya maadhimisho...

P.S JOHN MOSONIK AZINDUA AWAMU YA MWISHO YA BARABARA YA MERILLE-MOYALE

Katibu wa kudumu katika wizara ya barabara nchini John Mosonic amezinduwa rasmi kukamilika kwa barabara ya Meriile - Moyale hapa Marsabit. Mradi huu wa barabara ambao imefadhiliwa na Benki ya Africa ya Maendeleo ADB ulianza mwaka wa 2011 ambao imeunganisha miji ya Mombasa-Nairobi-Marsabit. Hii ni awamu...

NACC na Wizara ya Afya kaunti ya Marsabit yazindua Mpango wa Ugonjwa wa Ukimwi Mwaka wa 2016-2019

Serikali ya kaunti ya Marsabit ikishiriakana na kamati ya National Aids Control Council hii leo imezindua mradi wa kupambana na jinamizi la ugonjwa wa ukimwi. Hafla hii ya uzinduzi ilifanyika katika mkahawa wa Imperial Dale hapa Marsabit imewaleta pamoja wafanyakazi kutoka wizara ya afya,watu waonaishi...

Amb. Ukur Yattani To Join Jubilee Party

Marsabit county Governor, Amb. Ukur Yaatani among the five opposition Governors to join Jubilee party, speaking to press yesterday, National Assembly Majority Leader Aden Duale disclosed that five governors and more than 35 Cord MPs will defect to the Jubilee Party on Saturday during...

Police Bosss cornered by Activists, forced to sing in Nairobi Streets

Demonstrations by the Law Society of Kenya (LSK( and civil society turned ugly after a section of the protesters poured water on police spokesman Charles Owino to express their anger over what they termed as the inability by the security agent to address cases...

LAPSSET representatives met with Marsabit Town residents at Marsabit County stadium.

The event that brought together leaders from the central government, politicians and religious leaders to get incites about LAPSSET project. The Tarmac road from Merrille to Moyale is part of the LAPSSET product that was by President Mwai Kibaki. According to the LAPSSET representative Michael...

H.E Amb.Ukur Yattani, Governor Sign an MOU with Kenya RAPID

H.E Amb.Ukur Yattani, Governor Sign an MOU with Kenya RAPID In-Partnership with FH-Kenya,The event was launched at Pastrol Center Marsabit. The Project budget worth $35.5 million focus on five counties in Northern Kenya and it will benefit 450,000 People in Marsabit, Isiolo, Turkana, Wajir and...

LATEST NEWS

MUST READ

error: Content is protected !!